
Wanachuo wanawezaje kumiliki magari ya gharama kiasi hiki....? Ulikua unaendesha gari gani wakati bado uko shule? Peherps toyota corolla, au labda ulikua unategemea usafiri wa wa shule au daladala. Mambo ni tofauti kidogo chuo kikuu cha kimarekani cha Dubai. Kule kila mtu anaendesha gari za kifah…