Na haya ndiyo mabadiliko ya Magazine Bongo Ride Ltd na wote wanaofanikisha Magazine kurushwa hewani inakupa Shukrani za dhati wewe mdau na tunakukumbusha kwamba tunatambua mchango wako wa hali na mali na ni kwaajili yako tunazidi kukupa taarifa mbalimbali kupitia Jarida letu. Baada ya kutoa Jarida la kwanza, Tumekaa kama Team na kupata wazo la kuboresha mambo kadhaa katika toleo letu la pili, Time hii Magazine kutakuwa na Mabadiliko yafuatayo: 1.Segment ya Buy and Sell itawekwa kwenye Page katika Home Page na hio itasaidia sana wale wanaotaka kuuza magari yao muda wowote kupata nafasi ya kupata huduma zetu bila kungojea Edition ya kipindi husika.2.Tumeongeza Segment Moja iitwayo Bongo Ride Special ambayo itakua na Jambo special kila Edition ambalo litakupa nafasi ya kufahamu Historia ya mtu au kitu chochote ambacho kitakuwa katika Circle yetu. Toleo la Pili la Magazine yetu linatoka Tarehe 08/08/2014 (Ijumaa) Pata taarifa mbali mbali kuhusu Bongo Ride kupitia Mitandao Ya kijamii kama Facebook, Twitter na Instagram kwa jina lile lile: Bongo Ride Endelea Kufurahia Bongo Ride Mag na kumbuka unayo nafasi ya kutuma Maoni yako kupitia bongoridemag@gmail.com Asante! By: Creative Director Bongo Ride Ltd Na haya ndiyo mabadiliko ya Magazine Bongo Ride Ltd na wote wanaofanikisha Magazine kurushwa hewani inakupa Shukrani za dhati wewe mdau na tunakukumbusha kwamba tunatambua mc... Read more » 11:04 PM