
Kituo kipya cha daladala kilichopo eneo la Migombani jirani na jengo la mawasiliano kitakachochukua nafasi ya kituo cha ubungo. Kinatarajiwa kuanza kutumika mwishoni mwa mwezi huu baada ya kukamilika sehemu kubwa. Ujenzi wa kituo hicho ambao ulianza mwaka jana umekamilika kwa asilimia kubwa huku m…