ABOUT BRCC

ABOUT BRCC
IT WAS AWESOME

BONGO RIDE 

ONLINE MAGAZINE

  • Hili ndio jarida pekee la kitanzania litakalokupatia fursa ya kujua mambo mengi mabali mbali yahusianayo na vyombo vya usafiri vya kila aina duniani,
  •  Utapata elimu ya kutosha kutoka kwetu na kufahamu mambo usiyofahamu haswa kuhusu chombo ukimilikicho au hata kile unachotamani kukimiliki katika maisha yako.
  •   Utapata nafasi ya kujua distance iliopo kati yako na gari, pikipiki, baiskel and etc..
  • Utaweza kununua na kuuza gari kupitia jarida hili
  • Utapata nafasi ya kujua nani anamiliki aina gani ya chombo/Vyombo vya usafiri,Gharama zilizomtoka, nini ameongeza na nini anazungumzia zaid kuhusu chombo/vyombo vyake vya usafiri.
  • Utafahamu tofauti kati ya vyombo vya usafiri viwili kila jarida.
  • Utafahamu nini kinaendelea hapa nchini kwetu na hata nje ya nchi kuhusiana na Michezo ya Magari na Pikipiki.
  • Utapewa nafasi ya kuuliza chochote kuhusiana ma Vyombo vya usafiri na kujibiwa kwa kina zaidi katika kila jarida na maswali yote yatatumwa kupitia baruapepe hii bongoridemag@gmail.com au tuma meseji kwenda namba +255 754 282 878
Hizi ni Segments zitakazokuwepo katika issue ya kwanza itakayotoka tarehe 06/06/2014 saa 6 Usiku.
  1. Ride of the day
  2. Ride Comparison
  3. How to
  4. Tips on
  5. Sports & Entertainment
  6. Did you know?
  7. Check out my ride (My Dream Ride)
  8.  Buy and Sale
  9. Bongo Ride Boot
  10. Under the Hood
  11. Ask Bongo Ride 


Kizuri zaidi kuhusu jarida hili ni kwamba, unaweza ku-download Application ya Bongo Ride  kutoka kwenye Google Playstore yako ya simu zote za Android na utapata nafasi ya kutumiwa taarifa hizi (Notifications) kila tutakapoweka Update yoyote ya Jarida hili.

Nenda kwenye Playstore >>> Bongo Ride >>> Download. na hapo utafurahia sana kusoma Jarida hili muda wowote na hata ku-share furaha yako na rafiki zako!


Kaa mkao wa kula, inakujia hivi karibuni: 06/06/2014
>>>

1 comments:

  1. Well, nimeipenda sana. Kweli this is the only movement we all need. #Sean

    ReplyDelete

 
© Bongo Ride - All Rights Reserved. Developed by Classic Sean and Kicbjamii
Top