Sunday, March 16, 2014

Sherehe ya Kutimiza mwaka ya Midnight Cruise Crew MCC















































































































Hii ilikuwa ni siku maalumu na siku pekee ya furaha sana kwa ndugu zetu wa Midnight Cruise Crew MCC
15/03/2014 ndio wametimiza mwaka tangu wajiunge kuwa kundi moja la Kufurahia maisha yao ya Udereva na magari yao Mazuri sana!

Video ya Safair nzima iliyofanyika Usiku huo huo wa Anivesari yao itakujia muda mchache ujao!

Post Hii, Imedhaminiwa na MCC, na Bongo Ride.

0 comments:

Post a Comment

 
© Bongo Ride - All Rights Reserved. Developed by Classic Sean and Kicbjamii
Top