ABOUT BRCC

ABOUT BRCC
IT WAS AWESOME

Wanachuo wanawezaje kumiliki magari ya gharama kiasi hiki....?
Ulikua unaendesha gari gani wakati bado uko shule? Peherps toyota corolla, au labda ulikua unategemea usafiri wa wa shule au daladala.
Mambo ni tofauti kidogo chuo kikuu cha kimarekani cha Dubai. Kule kila mtu anaendesha gari za kifahari kama Range Roger na Rolls Royce.

Hii ni moja ya magari iliyoonekana katika maegesho ya chuo hicho. Rolls Royce Phantom Ghost. Ina cc 6600 na engine yake ni V12. Nadhani unaipata picha jinsi gani gari hii inatumia mafuta.


Toleo hili la AMG, Mercedez benz CLS linapatikana kwa kuanzia dola 85,000 bila ushuru
Unaifanyaje gari yako iwe na mvuto kati ya magari mengine? Kwa kuweka bendera ya UAE ofcourse.


Mapacha hawa wanataka wafananishe hadi magari yao. Kila moja bei yake inaanzia dola 45,195 bila ushuru. Dodge challenger SRT hizi pia zilionekana kwenye maegesho ya chuo.


Hii ni moja tu ya Audi R8 zinazomilikiwa na wanafunzi hawa. bei yake inaanzia dola 114,900 bila ushuru.

Dereva wa Audi hii hata hakutaka kuangaika kupaki vizuri.
Ford F150

Nani anabisha hela haiwezi kununua furaha? Imagine unaendesha porsche Panamera GTS inayoanzia dola 125,600 bila ushuru, cc3000. Yeah, jibu unalo. Dereva huyu hakutaka kuangaika kupaki vizuri pia.


Kwa wakati mwingine, exhaust mbili kama hazitoshi vile. kwa haraka haraka Ferari 458 italia, inaweza ikalipa ada za wanafunzi zadi ya 50 kwa hapa bongo!

BMW M6
BENTLEY CONTINENTAL

ROOLS ROYCE PHANTOM



ASTON MARTIN VANGUISH
RANGE ROVER 2013 VOGUE


MARCEDEZ BENZ G63


LAMBORGHINI MACELAGO



MARSERATI


PORSCHE CAYENNE







0 comments:

Post a Comment

 
© Bongo Ride - All Rights Reserved. Developed by Classic Sean and Kicbjamii
Top