BONGO RIDE
ONLINE MAGAZINE
- Hili ndio jarida pekee la kitanzania litakalokupatia fursa ya kujua mambo mengi mabali mbali yahusianayo na vyombo vya usafiri vya kila aina duniani,
- Utapata elimu ya kutosha kutoka kwetu na kufahamu mambo usiyofahamu haswa kuhusu chombo ukimilikicho au hata kile unachotamani kukimiliki katika maisha yako.
.jpg)